Haka katoto katanitoa roho jamani.

uzuri wa kitu upo machoni kwa mtazamaji.

Hii kitu nabishana nayo kila siku....mtu kama kimu kadashiani huwezi sema uzurui wake uko machoni kwa mtazamaji...au basi kuna dada mmoja wa bongo muvi anaitwa jakilini wolpa.
 
Hii kitu nabishana nayo kila siku....mtu kama kimu kadashiani huwezi sema uzurui wake uko machoni kwa mtazamaji...au basi kuna dada mmoja wa bongo muvi anaitwa jakilini wolpa.

wolpa nae kakomaaa hatari....
 
Omba bodigadi kabisa.....nilishasema hivyo viatu utaviona vizito

Bodigadi wa nini?Hivi unamjua mume wangu vizuri?Mie sitaki kuongea sana jaribu tu kumuulizia uambiwe detail zake mie sitaki kusema sana
 
Bodigadi wa nini?Hivi unamjua mume wangu vizuri?Mie sitaki kuongea sana jaribu tu kumuulizia uambiwe detail zake mie sitaki kusema sana

Kwani mume wako hanijuwi mimi...kwanza ninavyotembea tu lazima akimbie....
 
hahahahahah....hayo ndo mambo ya mahaba nitoe ufahamu... pole we :A S-rose:
 
angalia kasikufanye babu jinga mkuu hivi vitoto vya dotcom mwisho
 
labda kakuroga kweli..hebu angalia kifuani kwake kama kuna alama 3 kama mithili ya chale vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…