Haka katoto katanitoa roho jamani.

ishi kiume wewe! kwani uyo mutoto kabila gani,
 
Mkuu uko under 25 kama mimi au?
 
Mwaliko utakaofuata wa Birthday mwambie utaenda uchi wa mtu, labda itasaidia kupunguza mialiko ya siku za kuzaliwa.
 

Haujitambui, pia ni limbukeni. Samahani kama nimevuka mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…