benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Jamani kuna kabinti kameniloga sijui.
Kwa kweli sijui nini kimenikuta, kananigombeza hako! akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo.
Yaani nimejikuta tu namuogopa. Sijawahi kwenda kwenye birthday lakini huwezi amini mpaka sasa ndani ya mwezi mmoja na nusu nimeshaudhuria kama sio sita basi saba.
Zote za mashost zake na nikienda nae navalishwa kimodo.
Mwenyewe benteke shati la zambarau suruali nyekundu na viatu vya njano au shati la rangi ya udhurungi kamtura rangi maji bahari na makobasi meusi na soksi nyeupe...hah,sina hamu.