Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake, itokee siku unataka kuomba penzi tena au umemtext "mambo mpenzi", utakuta anakujibu, "my dear it was just a mistake, haitakaa itokee tena tufanye mapenzi", we mpumbavu nn,,,kama ulikua unajua ni mistake kwanini upanue miguu tena kwa hiari bila kulazimishwa!!! Acheni hizo bwana, mnaboa!!!