Sikuhizi vitu vizito vinabebwa na forklift, excavator, crane, roboti etc. Ulimwengu wa sasa unaendeshwa kwa soft part of human. That is why Woman=Man. Ulimwengu unatabiliwa kushikiliwa na wanawake katika nyanja nyingi mbalimbali kwa sababu woman are more Humanity, flexble and nimbleness and that are key part of future daily life . Achana na mambo ya ubabe Ulimwengu tuaoingia ni wa data technology, vita mtu anapigani yupo chumbani na laptop tu mkuu. Change your mindset nguvu na mabavu ya misuli za mwili hazina misaada huko mbele mkuu.
Matatizo unayoyataja yote yanafanywa bila kuhitaji misuli na nguvu kubwa. surviallance camera, gari kupeleka wato shule, electrical short katika uzio pamoja na robort, bastola hata mtoto wa la saba atatuia kujilinda.