Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Jul 27, 2017 7,919 13,394 Sep 13, 2019 #101 Mkuu, akakwambia jichekeshe kama shoga akaona wallet yenye hela, na wewe ukamchekea tena bila ata kumpa banzi mbili tatu?
Mkuu, akakwambia jichekeshe kama shoga akaona wallet yenye hela, na wewe ukamchekea tena bila ata kumpa banzi mbili tatu?
toughlendon_1 JF-Expert Member Feb 7, 2018 5,839 10,263 Sep 13, 2019 #102 huyu sio mwanamke wako ni mwanamke wa watu unawasaidia kulea