Hajui kwanini nilimuacha...

Huyo demu ni Singeli... Ukimudu kuwa nae wewe utakuwa mduara.
 
Kwani bado hujamla tu?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Nimekutana naye mwaka jana tu. Kama uzee anao mwenyewe toka zamani.

Sent using my Nokia Torch
Toka siku ile umejaribu kumula ukashindwa..

Ulijaribu tena kumula akakataa?

"Enough of No Love"
 
Ni aina fulani ya wanawake wabinafsi ndo wanakuwaga hivyo. Ungemuoa asingeona noma kukuambia umjengee nyumba hata kama ndoa ina muda wa mwezi mmoja tu.
 

Msela vipi unatokea mikoani au? Sasa demu kukwambia kwa utani kama shoga ndio imekua ishu yakununa?

Mimi demu nikishakua namgegeda tu basi mdomo wake kwangu upo huru, cha muhimu iwe ni private tu baina yetu.
Na anapotoa kauli kama hizo majibu yangu yanakuja kwenye mgegedo.
 

Mkuu demu ushmuingiza ndani, umeshindwa kumgegeda ultegemea uambiwe lipi jengine linalokustahiki?
 
Kwasababu hauna adabu basi ni sawa ukidate na mwanamke asiye na adabu pia.

Ila kwa muhusika hapa habari ni tofauti yeye ana adabu so anataka mwanamke mwenye adabu pia.

Adabu ni muhimu katika mahusiano inasaidia kujenga staha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hamuwezi kuzini halafa mukajihesabu muna adabu.
 
Mkuu demu ushmuingiza ndani, umeshindwa kumgegeda ultegemea uambiwe lipi jengine linalokustahiki?
Kwani umeambiwa sijamgegeda

Sent using my Nokia Torch
 
Achana nae huyo amekosa sipha za kuwa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…