Hajui kwanini nilimuacha...

Hiyo kauli ya kucheka kama shoga kaona wallet ingemfanya ajutie maisha yake yoote maana nngempasua ili ashike adabu
 
Hiyo kauli ya kucheka kama shoga kaona wallet ingemfanya ajutie maisha yake yoote maana nngempasua ili ashike adabu
Hamna sababu ya kumpiga. Hili nilimsema na akaja kuomba radhi baadae.

Sent using my Nokia Torch
 
Achana nae huyo,atakusumbua mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotosha mkuu kumbuka mmeamliwa mtupende wanawake na sisi tuwatii ninyi....
am better here
Mwanaume kumpenda mwanamke na kumpa moyo wako ni sawa na kuchezea kamari maisha yako, wanawake hawaaminiki hata kwa 10%.

Mimi nilishajifunza hili muda mrefu na to be on the safe side siwezi kua na mwanamke mmoja, ni 4 hadi 8, alafu hakuna kumpenda hata mmoja. Tokea nimelijua hilo sijawahi kupata shida tena.
 
Ushawahi kumtomba mara nyingi au bado anakuzingua tu.
Ila ni vyema ulivyomwacha, amekufanya kitega uchumi tu bila mapenzi.
Au la, basi naye ana akili kukuzidi na wewe unapenda kumpelekesha bila kujali uhuru wake.
Yaani mmepishana miaka mitatu, huyu amekuzidi sana, ila wewe umetekewa na penzi lake.
Hivyo basi pamoja na kuwa umejifanya kumwacha bado unampenda sana, ni bora mbembeleze umchukue maana naye anakusoma kama unamfaa maishani. Kwa sababu asili yake ni Introvert(psychology) lakini hana shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo bomu ligekuja kukupasukia...demu kiburi sijapata ona khaaa...akiwa.mke.mkitofautiana. hata papuchi hakupi wala chakula hakupikii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hapo ulishazungua tokea mwanzo unampata huyo dogo.Unashawishiwqje na mwanamke kumpata mwanamke?Yan huyo friend wa renetha ndio alikushawishi kuw huyo dogo anakufaa na ww kwel ukajaa?
 
Huyo hakufai huyo mwanamke ni shangingi mwanamke wa mashughuli hakufai hata kidogo wengi wao wanatoa 0713 halafu wengi wao unakuta analiwa uroda na mtu mwingine kwako anakuchuna tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa mkasa huo,,nilishawahi kuwa na mwanamke wa namna hii kama huyo renatha sema hakuwahi kunitamkia kauli ngumu kama hiyo ila alikuw na vijitabia vya kukasirika hata kwa jambo dogo tu pia alikuw mropokaji
mademu wa hivo ni kwa ajili ya kugegeda tu sio kuoa

mtafute umtomb.e huyo maana hana adabu kwelii
ukimaliza sepa kimyakimya
akikutafta unamtomb.a tena
alaf unasepa kimyakimya
akikutafta unamtomb.a tena
siku akijiongeza picha litakuwa limeishia hapo kila mtu hamsini zake

note.kutumia kinga muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay so be it....enjoy

am better here
 
Mkuu na kwa maelezo yako siku zote hizo na huduma ulizotoa inaonyesha hakuwahi kukupa mzigo!!?
 
Kwanza hapo ulishazungua tokea mwanzo unampata huyo dogo.Unashawishiwqje na mwanamke kumpata mwanamke?Yan huyo friend wa renetha ndio alikushawishi kuw huyo dogo anakufaa na ww kwel ukajaa?
No! No! Best yangu ni mwanaume mwezangu.

Sent using my Nokia Torch
 
Mkuu na kwa maelezo yako siku zote hizo na huduma ulizotoa inaonyesha hakuwahi kukupa mzigo!!?
Aaah mkuu, mzigo uliliwa siku za usoni.

Sent using my Nokia Torch
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…