Hajui kwanini nilimuacha...

Mtu wa miaka 27 hajui kama hili ni kosa? Huwa tunawajenga mabint wadogo wa below 25 unafanya kama unakalea kukaelekeza what is right and wrong. Yeye unamuambia na bado yuko baridi.

Sent using my Nokia Torch
Uko sahihi mkuu nikweli hakuna mkamilifu lkn ilitakiwa awe mwepesi wa kuomba msamaa na kujitahidi kutorudia kosa ila huyo hajielewi kabisa ingawa wenginene wanamtetea mimi ningelimtetetea kama ni bint mdogo mtu mzima huyo hajua umuhimu wa babamkwe tena unapewa nafac ya kutambulishwa anakataa.kaa nae mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi simu ya tochi haijijui? Hata kudhani imekuwa iPhone au Samsung? Mwanamke anajua wapi kakosea tokea mwanzo anajua anapima maji ila hujitoa fahamu pale anapo wachwa. Huyu jamaa anaonekana ana huruma sana. Kama mimi huyo mbulula nishatupa kule zamani sana kabla hata dingi hajafika home.


Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Correct. Hongera sana kwa kulitambua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah hili ndilo alilotakiwa kulifanya huyu kijana wetu, sio hizi brah brah za kitukufu.

Wala simtetei huyo mwanamke, ila najaribu kuonyesha maana ya dhana ya "mwanaume ndio kichwa cha familia".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo malaya ulivyotomba tu ulitakiwa kuchapa lapa mapema,hakuna mke hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani na yeye mtoa mada hana mapungufu,Ni kweli huyo bibie kakosea ila tatizo tumeumbwa na udhaifu hawezi kumpata mwanamke mwenye tabia anazo taka yeye kwenye mahusiano huwa tunavumiliana na kurekebishana.
Ndugu kuna tabia za kuvumilia na tabia za kupoteza muda, hakuna mke atakuita shoga useme unamvumilia . Ukiwa mpuuzi kiasi hicho ndio nyie mnao kujaga kutuambia ndoa ndoano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"
Yah hili ndilo alilotakiwa kulifanya huyu kijana wetu, sio hizi brah brah za kitukufu.

Wala simtetei huyo mwanamke, ila najaribu kuonyesha maana ya dhana ya "mwanaume ndio kichwa cha familia".

Sent using Jamii Forums mobile app
Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"
 
Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"Namm naunga hoja yako mkuu ktk dhana ya "Mwanaume ndo kichwa cha familia"
Basi kama mume ndio kichwa. Kichwa kimeamua kulala. Kichwa kilala hata miguu haitembei. Aende zake tu.

Sent using my Nokia Torch
 
Mzinguaji sana. Mwache aendelee kukaa kwao na miaka yake 28 sasa. Nilipanga kumuoa kabisa lakini amenishinda. Time will tell.

Sent using my Nokia Torch
Moto unawaka...

am better here
 
Unapotosha mkuu kumbuka mmeamliwa mtupende wanawake na sisi tuwatii ninyi....

am better here
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…