Nishamwacha.Inamaana hujui kuna mtu anakosea pasipo kujua kama anakosea.
Sasa huyu unategemea Akukose kama ivo alafu usimwambie??!. Yaaan yee ni malaika .
Sijaona jitihada yoyote ktk uzi uloifanya ili atambue kosa lake au juhudi za kumbadilisha.
Aaahh naishia hapa ...Mwambia alipokosea.. Ili mradi tu ni Wife material. Mengine waweza mbadilisha , asipobadilika ndo sasa unamtema.
Alafu, umeshamwacha? Maana kuna mahali umesema "Namwacha".
Mkuu inashangaza sana angetulia nae amwambie ukweli pengine akawa bora zaidi.Inamaana hujui kuna mtu anakosea pasipo kujua kama anakosea.
Sasa huyu unategemea Akukose kama ivo alafu usimwambie??!. Yaaan yee ni malaika .
Sijaona jitihada yoyote ktk uzi uloifanya ili atambue kosa lake au juhudi za kumbadilisha.
Aaahh naishia hapa ...Mwambia alipokosea.. Ili mradi tu ni Wife material. Mengine waweza mbadilisha , asipobadilika ndo sasa unamtema.
Alafu, umeshamwacha? Maana kuna mahali umesema "Namwacha".
Mimi nilimuona mtulivu tu. Kuwa anatoka uswahilini na familia duni haikuwa issue sana kwangu. Lau angekuwa na maono na na wife material. Kuna bint alinipiga chini na anatoka familia duni lakini nilikua namuelewa.Mapenzi ya kitoto, Kama mwanaume mweke chini mueleweshe, Kama humtaki mwambie kila mtu ale hamsini zako !!!
Hivi unaweza vp kudate na type hizo sijui za kiswaz swaz, kichwani mgando anawaza madela tu na kwenda kutunza ,kingine hajui !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kazi yangu kumtengenezea mke mwanaume mwenzangu. Atakayekuja kuowa bint yangu tu ndio ana haki hiyo.Aisee unahitaji aendelee na tabia yake, binadamu hatuna ukamilifu mwambie ili akianza mahusiano mapya ajue ana tabia gani.
Anajua kama umemuacha?? Au nizile za kukaa kimya mwenyewe ajuongeze??Nishamwacha.
Sent using my Nokia Torch
Mtu wa miaka 27 hajui kama hili ni kosa? Huwa tunawajenga mabint wadogo wa below 25 unafanya kama unakalea kukaelekeza what is right and wrong. Yeye unamuambia na bado yuko baridi.Mkuu inashangaza sana angetulia nae amwambie ukweli pengine akawa bora zaidi.
Kwakweli hata mie nmeshangaaMkuu inashangaza sana angetulia nae amwambie ukweli pengine akawa bora zaidi.
Hapo umtengenezi mkuu wewe una mwambia nimekuacha kwa sababu zifuatazo huoni umempa mtihani wa mawazo kwanza kwa kumuacha, pili bila kujua sababu.Sio kazi yangu kumtengenezea mke mwanaume mwenzangu. Atakayekuja kuowa bint yangu tu ndio ana haki hiyo.
Sent using my Nokia Torch
Sawa. Wazo lako nimelichukua. Ikimpendeza Mungu nitamwambia.Hapo umtengenezi mkuu wewe una mwambia nimekuacha kwa sababu zifuatazo huoni umempa mtihani wa mawazo kwanza kwa kumuacha, pili bila kujua sababu.
Huyo binti Umeandika anatoka Uswahili kuna familia za ajabu huku kwetu Uswazi kuna familia lugha chafu ni kawaida pengine huyo binti kakulia katika mazingira hayo.Sawa. Wazo lako nimelichukua. Ikimpendeza Mungu nitamwambia.
Sent using my Nokia Torch
AhaaahaaHonestly huyo hafai kabisa
Mwamba eeeh narudia tena hafai hata kidogo
Yaani nasema hivi huyo ni wa kukimbia kabisa
Mwanangu ee sikiliza usirudi tena nyuma sepa mazima
aiseeeeee aaaaaaaaa mzazi eeeee nakwambia tena kimbia
Sio pengine hayo ndo Malezi ya kwaoo.. Wewe mwanamke wa kumpa hela akashone sare huyo ni mwanamke au malaya mcheza vigodoroo???? Si ndo hao wanavua nguo barabarani kila sikuu... Eti mwanamke anakuita Shoga..???Huyo binti Umeandika anatoka Uswahili kuna familia za ajabu huku kwetu Uswazi kuna familia lugha chafu ni kawaida pengine huyo binti kakulia katika mazingira hayo.
Asee, watu wa namna hyo hawaelewekag, huyo anaweza mpa sabab bado akamtupia lawama mshikaj nakuona kama kaonewa kiufupi huyo hajielewi hata chembe, m naona jamaa yuko sahihi kumbwaga kimya kimyaMoja ya vitu vibaya kumfanyia mwenzako ni kumuacha bila kumwambia sababu. Ni wazi kuwa amekosea lakini pia inabidi umwambie. Kama asipojikerebisha kwako basi mpe nafasi akajirekebishe mahusiano yake yatakayokuja. Au toka umekua nae ni mateso tu mpaka sasa
After all we're only human
Sent using Jamii Forums mobile app