sasa ndio nini hiki? Hizi anadhani zama hizi hizi habari ni mpya? Au ni rahisi kama navyodhani? Huyu jamaa ile hali yake imemfanya kawa na shobo hatari..
Kama screenshot ndio hii, haiwezi kumtia hatiani,sijaona alipotamka jina la klabu anayoishutumu..
Na mbona kuna kuna post kwenye comment ana blue tick na hiyo yenye status haina?..
HM deep down bado anaipenda SSC,