Kwanini mkuuHuu uzi utabadilika na kuwa wa kidini mda si mrefu. Walichotufanyia hawa wazungu na waarabu kutuletea hivi vitu MUNGU anawaona.
Ndo maana virusi vya CORONA vinaogopa ngozi nyeusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi utabadilika na kuwa wa kidini mda si mrefu. Walichotufanyia hawa wazungu na waarabu kutuletea hivi vitu MUNGU anawaona.
Ndo maana virusi vya CORONA vinaogopa ngozi nyeusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi namshangaa sana yule ni muhuni tu hata dini haijuiHaji, mtu wa ajabu sana! yaanai utani wa kwanye mpira, kaukimbizia kwenye dini, ili aonekane mwema sana, au Jerry aonekane mbaya. Kwanza afananii kuwa hata mwalimu wa madrasa, kila siku na kina U....
Hawa nzige wamejichanganya wakaingia Uganda, yaani watu wamewakaanga na kuwahifadhi katika magunia kwa ajili ya chakula.Na nzige je?
Acheni kufananisha simba na vitu vya kijinga. Simba ilikuwepo hata kabla ya haji Manara na Uislam.Uislam wa haji manara ndio unafiki simba haihusiani na makando kando hayo..
SIMBA ILIKUEPO itaendelea kuwepo
Kwani ualimu wa madrass ni dhambi au ni kitu kibaya duniani?Sasa kosa la Manara hapo ni lipi?
Je, kama alisema kua dini imedhalirishwa kwa sababu yeye hafai kua mwalimu. Je, huoni kua ni kudhalirisha dini kusema mtu flani awe mwalimu wa madrasa wakati unajua kua hana vigezo hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawahi Mara kadhaa kusema humu kuwa Simba haikustahili kabisa kuwa na msemaji Kama Haji Manara. Kwanza kwa mujibu wa taratibu za tff siamini Kama cheo Cha msemaji kipo, kipo cheo cha ofisa habari. Haji ni hatari kwa soka la nchi. Kama taarifa zake mbalimbali zitatafsiriwa na kupelekwa FIFA ni wazi TFF itakuwa kikaangooni kwa kumlea mtu Kama huyo.Haji, mtu wa ajabu sana! yaanai utani wa kwanye mpira, kaukimbizia kwenye dini, ili aonekane mwema sana, au Jerry aonekane mbaya. Kwanza afananii kuwa hata mwalimu wa madrasa.
Sio dhambi, sasa amefhalirisha vipi uislamu ka anavyodai mtoa mada?Kwani ualimu wa madrass ni dhambi au ni kitu kibaya dunian??
Ni kwamba yeye anadai mtu ukiambiwa ukafundishe madrassa ni kitu kibaya sana na ubaya wake umedhalilisha uislamu. Sasa uislamu gani unadhalilishwa kwa kauli hizo. Uislam ni dini ya amani na upendo. Ucha mungu ni matendo yako yaliyo mema. Na kingine tujue kutofautisha kuwa muislam sio ndio umekua mcha munguSio dhambi, sasa amefhalirisha vipi uislamu ka anavyodai mtoa mada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni wivu, Manara kaajiriwa Simba Kwa vigezo vyote na anamkataba wa kazi.
Someni na nyinyi muajiriwe na sio kutaka Manara afukuzwe kazi bila sababu ya Msingi.
Acheni wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app