Haji kupigwa chini,kumenifanya nisahau hata kama leo tumefungwa.Wacha weee!!!
Kule moshi maafande wamechomoa betri hahahahahaha
Haji anabaki kuwa shabiki tu,atakuwa anakwenda kunywa Gahawa tu pale Msimbazi.Na vile perfume haziuziki ndo acha alambe miguu viongozi wa CCM na Serikali.Lala ww wakike wakiccm naona unaota
Hahahahaha mkuu ngoja nimuulize swali hivi victoire una mume au unatafuta mume humu?Lala ww wakike wakiccm naona unaota
Tapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.Sio mbaya atakua busy na perfume yake
Inahuuuusu,hapa tunaongelea Mikia na Haji Manara.Hahahahaha mkuu ngoja nimuulize swali hivi victoire una mume au unatafuta mume humu?
Mme wangu yupo busy na SADC,nipo namsubiri arudi.Anarudi saa kumi Alfajiri.Hahahahaha mkuu ngoja nimuulize swali hivi victoire una mume au unatafuta mume humu?
Ccm imetoka wapi tena hapa?.Lala ww wakike wakiccm naona unaota
Tapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.
Vyeti adimu nini? Kumbe Kelele nyingi sana nikujihami yupo sawa tu na sisi std 7?Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Yashakuwa hayo tena,anaishi kijanja janja tu,nasikia anataka jimbo dsmTapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.
La saba,nasikia atakuwa mtu wa propaganda tu .Mambo ya press yote le BOSS ni Gift Macha.Vyeti adimu nini? Kumbe Kelele nyingi sana nikujihami yupo sawa tu na sisi std 7?
Duuh aiseeLa saba,nasikia atakuwa mtu wa propaganda tu .Mambo ya press yote le BOSS ni Gift Macha.
Yaani yule akishinda ubunge,nitawadharau sana wanadsm.Yashakuwa hayo tena,anaishi kijanja janja tu,nasikia anataka jimbo dsm