Haji Manara anapogeuka mtetezi

karume kenge

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
568
421
nimesikia kwenye chombo fulan cha habar kwamba. HAJI manara amemuandikia rais wa TFF barua ya kumuombea msamaha msemaji wa yanga ndugu jery muro.binafc nimeona ni suala la kiungwana lakin pia nimejifikiria, inawezekana manara ameona umaarufu wake unashuka bila jery muro.kwa sababu nikiangalia thobius kifaru na team yake ya mtibwa haiko hata 3bora atasema nn msemaji wa ruvu shooting masau bwire kadhalika sasa manara kaangalia upepo kaona bila muro hakuna changamoto. Nakupa hongera Manara kwa kutazama jichoo la tatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom