Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,819
mkuu uwe wasoma uzi vizuriKama kweli ni girl friend wako, utafungwa tu.
Kesho ulete mrejesho ilivyokuwa na hatma yako ilikuwaje.
mkuu uwe wasoma uzi vizuriKama kweli ni girl friend wako, utafungwa tu.
Kesho ulete mrejesho ilivyokuwa na hatma yako ilikuwaje.
Aseeh wanawake wanawake [emoji1311] miez mitatu sasa imepita toka nilipo enda moro kumtembelea mamdog nili kaa wiki mbili pale kwake nikapata wasaa wa kumkanyagaa mtto mmoja wa pale mtaani nilimkanyaga mara 3 basi tumeendelea kuwasiliana kwa kipind chote iko hajawah nambia kama alishika ujauzito na ukizingatia sikuwa nawaza swala hilo coz mara zote tulitumia condom basi bana majuzi katoa mimba kutumia dawa katoka na dam nying mno kiasi cha kupeleka kupoteza fahamu kaja kupata fahamu huko akaulizwa niya nan na nan kamshauri akanitaja mm
Sasa iv nimepigiwa simu naelekea moro kizur chat zote nilizo chat nae sijafutaga zipo ila bado najiuliza watanielewa vip mm yan napanga nianze wap sielew duhh
Msichana anamika 26 amehitimu UDSM yupo home tu
Naomben msaada njia ya busara kujitetea wakubwa na wadogo zangu
"Damu poza " ndio nini ColeSasa kwanini kakutaja na wakati anajua mlitumia kinga, kama alivyosema Mdau hapo juu for the sake of your Aunt nende kamuondoe kwenye msala lakini pia wamekuona wewe ni Damu poza
Wangekutana na Wanaharakati wenye mambo yao ya kufunya wasingeenda na wasingepigwa biti kwenye simu
Acha uboya weye, UNAENDA KUFANYA NN SASA??.Aseeh wanawake wanawake [emoji1311] miez mitatu sasa imepita toka nilipo enda moro kumtembelea mamdog nili kaa wiki mbili pale kwake nikapata wasaa wa kumkanyagaa mtto mmoja wa pale mtaani nilimkanyaga mara 3 basi tumeendelea kuwasiliana kwa kipind chote iko hajawah nambia kama alishika ujauzito na ukizingatia sikuwa nawaza swala hilo coz mara zote tulitumia condom basi bana majuzi katoa mimba kutumia dawa katoka na dam nying mno kiasi cha kupeleka kupoteza fahamu kaja kupata fahamu huko akaulizwa niya nan na nan kamshauri akanitaja mm
Sasa iv nimepigiwa simu naelekea moro kizur chat zote nilizo chat nae sijafutaga zipo ila bado najiuliza watanielewa vip mm yan napanga nianze wap sielew duhh
Msichana anamika 26 amehitimu UDSM yupo home tu
Naomben msaada njia ya busara kujitetea wakubwa na wadogo zangu
alionja tuu"Nilimkanyaga mara tatu"
😂😂😂😂
Ndio maana unajipeleka kumbe.