Hajanambia

Hajanambia

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,036
Reaction score
2,238
Aseeh wanawake wanawake [emoji1311] miez mitatu sasa imepita toka nilipo enda moro kumtembelea mamdog nili kaa wiki mbili pale kwake nikapata wasaa wa kumkanyagaa mtto mmoja wa pale mtaani nilimkanyaga mara 3 basi tumeendelea kuwasiliana kwa kipind chote iko hajawah nambia kama alishika ujauzito na ukizingatia sikuwa nawaza swala hilo coz mara zote tulitumia condom basi bana majuzi katoa mimba kutumia dawa katoka na dam nying mno kiasi cha kupeleka kupoteza fahamu kaja kupata fahamu huko akaulizwa niya nan na nan kamshauri akanitaja mm

Sasa iv nimepigiwa simu naelekea moro kizur chat zote nilizo chat nae sijafutaga zipo ila bado najiuliza watanielewa vip mm yan napanga nianze wap sielew duhh

Msichana anamika 26 amehitimu UDSM yupo home tu

Naomben msaada njia ya busara kujitetea wakubwa na wadogo zangu
 
Pole sana mkuu naelewa upo kwenye wakti gan? iyo simu umepigiwa na nani polis au wazazi?
 
Unaenda kujibu kesi ya kutoa mimba??

[emoji3][emoji3] mkuu na sisi tunataka kuona hizo chat tujiridhishe kama kweli sio wewe..
 
mkuu we kuwa na amani maana hujatoa mimba wewe na hukumshauri atoe mimba wewe na hukumpa mimba wewe, so kula ushibe, kunywa utosheke huna haja ya kupoteza amani na furaha kwakitu usichokitenda,
Namna ya kufanya kwenye maswali ni kujibu vile utakavyoulivya maana ukweli ndivyo ulivyo usitegemee ama kuwaza watakuelewa ama laa wee waeleze kukubali ama kutokukubaliana nawe ni juu yao maana mwana wa adamu huwa hata akiambiwa ukweli huwa haamin.
kingine huna kesi yoyote mahakamani ama kituo cha polisi,
 
Safi aseeh hili ndo lililopo kichwani kwangu nitawajibu ninachokijua tu asante sana nawaza tu namna walivyo na jazba maana simu imepigwa napigwa nabit ya kufungwa jela tu ila naamin sheria zipo
 
swadakta mkuu, uongo naukweli kamwe haviwezi kuungana watakutisha but mwisho wasiku mambo yataisha, yawezekana na huyo mwanamke kaogopa kumtaja ambae yupo karibu labda kwa kuhofia moto ambao ungemwakia akaona uwe wewee but kumbe nayo haijasaidia
U mwanaume yataisha
 
Sasa kwanini kakutaja na wakati anajua mlitumia kinga, kama alivyosema Mdau hapo juu for the sake of your Aunt nende kamuondoe kwenye msala lakini pia wamekuona wewe ni Damu poza

Wangekutana na Wanaharakati wenye mambo yao ya kufunya wasingeenda na wasingepigwa biti kwenye simu
 
Yaa sure mwenyew naliwaza sana hili
 
Sasa kwanini kakutaja na wakati anajua mlitumia kinga, kama alivyosema Mdau hapo juu for the sake of your Aunt nende kamuondoe kwenye msala lakini pia wamekuona wewe ni Damu poza

Wangekutana na Wanaharakati wenye mambo yao ya kufunya wasingeenda na wasingepigwa biti kwenye simu
Yan mamdogo ni muoga na kashika dini sana .... Wamempanikisha na amepanik kwel kwel hatak kunielewa anachota ni mm kwenda basi
 
Nenda kamuondoe wasiwasi kwa heshima yake lakini ilikuwa haina sababu ya kwenda, kutokana na maelezo yako kwamba ulitumia kinga huwezi kuwa responsible
 
Aseeh wanawake wanawake [emoji1311] miez mitatu sasa imepita toka nilipo enda moro kumtembelea mamdog nili kaa wiki mbili pale kwake nikapata wasaa wa kumkanyagaa mtto mmoja wa pale mtaani nilimkanyaga mara 3 basi tumeendelea kuwasiliana kwa kipind chote iko hajawah nambia kama alishika ujauzito na ukizingatia sikuwa nawaza swala hilo coz mara zote tulitumia condom basi bana majuzi katoa mimba kutumia dawa katoka na dam nying mno kiasi cha kupeleka kupoteza fahamu kaja kupata fahamu huko akaulizwa niya nan na nan kamshauri akanitaja mm

Sasa iv nimepigiwa simu naelekea moro kizur chat zote nilizo chat nae sijafutaga zipo ila bado najiuliza watanielewa vip mm yan napanga nianze wap sielew duhh

Msichana anamika 26 amehitimu UDSM yupo home tu

Naomben msaada njia ya busara kujitetea wakubwa na wadogo zangu
Wewe njoo tuu, tutaelewana.
Ukiweza kuprint hizo chats(nakala 4 au 3(kama wewe hutohitaji)) itapendeza.
 
Back
Top Bottom