Hakuna ukweli wowote hizi ni propaganda tu!Kuna kaukweli fulani
Kama ni propaganda tuambie ni kikao gani cha SADC aliwahi kuhudhuria.Hakuna ukweli wowote hizi ni propaganda tu!
Kama ni propaganda tuambie ni kikao gani cha SADC aliwahi kuhudhuria.
basi na yeye asitegemee wengine waje kwakeVikao vinasaidia nini?
basi na yeye asitegemee wengine waje kwake
Uko shule ulienda kusomea ujinga au?Vikao vinasaidia nini?
Uko shule ulienda kusomea ujinga au?
Kwa hiyo huu ndio utetezi wako, Tanzania ina safari ndefu kuyafikia maendeleo.Vikao vinasaidia nini?
Naihisi furaha yako wasipokuja!SADC-Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, inajumuisha nchi 16, hufanya mikutano yake ya SUMMIT kila mwaka inayowakutanisha wakuu wa nchi hizo sambamba na vikao vya Kazi.
Rais wetu hajawahi kuhudhuria mkutano wowote wa SADC Summit tangu aingie madarakani 2015, amekuwa akimtuma aidha Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu au Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa.
Hajawahi kukutana na wenzake kwenye vikao vya Kazi lakini anataka wenzake waitikie mwaliko wake.
Kuna kipindi zilisikika fununu za baadhi ya marais na Wakuu wa nchi kupanga kususia Dar es Salaam Summit, kuokoa hali hiyo juhudi za ziada zilifanyika zikiongozwa na rafiki yake Kagame alimshauri ahudhurie kuapishwa kwa Ramaphosa, baada ya hapo atembelee baadhi ya nchi na SADC ili kujenga imani kwake. Kweli alihudhuria na baada ya kutoka SA Magufuli alitembelea Namibia, Zimbabwe, na Malawi.
Ni rais wetu sawa, lkn tunapokuwa member wa jumuia hasa za nje kuna baadhi ya tabia lazima tuseme wazi hazifai kuzionyesha. Kwa hali hii tusione ajabu kwa baadhi ya wakuu wa nchi za SADC kutohudhuria na baadhi kutuma wawakilishi.
Ukweli mchungu.
Tuanze na hiki cha Dar es salaam kinatusaidia nini kwani?Vikao vinasaidia nini?
Tatizo la yeye kujiona ana akili sana kuliko Watanzania wote anadhani pia ana akili kuliko ma Rais wote wa SADC.SADC-Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, inajumuisha nchi 16, hufanya mikutano yake ya SUMMIT kila mwaka inayowakutanisha wakuu wa nchi hizo sambamba na vikao vya Kazi.
Rais wetu hajawahi kuhudhuria mkutano wowote wa SADC Summit tangu aingie madarakani 2015, amekuwa akimtuma aidha Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu au Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa.
Hajawahi kukutana na wenzake kwenye vikao vya Kazi lakini anataka wenzake waitikie mwaliko wake.
Kuna kipindi zilisikika fununu za baadhi ya marais na Wakuu wa nchi kupanga kususia Dar es Salaam Summit, kuokoa hali hiyo juhudi za ziada zilifanyika zikiongozwa na rafiki yake Kagame alimshauri ahudhurie kuapishwa kwa Ramaphosa, baada ya hapo atembelee baadhi ya nchi na SADC ili kujenga imani kwake. Kweli alihudhuria na baada ya kutoka SA Magufuli alitembelea Namibia, Zimbabwe, na Malawi.
Ni rais wetu sawa, lkn tunapokuwa member wa jumuia hasa za nje kuna baadhi ya tabia lazima tuseme wazi hazifai kuzionyesha. Kwa hali hii tusione ajabu kwa baadhi ya wakuu wa nchi za SADC kutohudhuria na baadhi kutuma wawakilishi.
Ukweli mchungu.
Kwa hiyo huu ndio utetezi wako, Tanzania ina safari ndefu kuyafikia maendeleo.