haja ya kijani

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,078
17,743
Je mtoto mchanga kujisaidia haja ya kijani ni ugonjwa au nini?Kama ni ugonjwa unasababishwa na nini?
 

Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,605
3,028
Je mtoto mchanga kujisaidia haja ya kijani ni ugonjwa au nini?Kama ni ugonjwa unasababishwa na nini?

Kwa kawaida haja huwa inakuwa ya manjano au kijani hivi au udongo udongo...hii inatokana na rangi ya nyongo ambayo mara ningi ndio hutoa hiyo rangi. Ni mtoto mchanga, sitegemei kuwa amekula mboga za majani (au amekula, natagenmea atakuwa anayonya maziwa ya mama tu). Ila rangi ya kijani ni rangi ya kawaida ya choo, na si hali ya kutisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom