Haja ndogo 200/=, Haja Kubwa 300/=.........

Haja ndogo 200/=, Haja Kubwa 300/=.........

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Jamaa alifika sehemu ya kujisaidia kwa malipo na kuona bango limeandikwa bei tajwa hapo juu, kwa kuwa alipofika hakumkuta mhudumu na kwa kuwa alikua amezidiwa sana akaamua kujitosa mojakwa moja, wakati wa kutoka ndipo akakutana na mhudumu na kumkabidhi shilingi 300/=, ndipo songombingo likaanza

Mhudumu: kwa nini unatoa mia tatu?


Mteja : NImekwenda HAJA KUBWA

Mhudumu: Ongeza 200 kwani haiwezekani kwenda HAJA KUBWA BILA HAJA NDOGO

Mteja: Haiwezekani kwa sababu ww mwenyewe umeandika haja kubwa 300/=

Unadhani nani yuko sahihi?
 
Mteja yupo sahihi kwa kuwa kubwa ina comprise vyote na tangazo limeseparate.
 
Sijawahi kwenda choo cha kulipia nisimkite mhudumu. Sasa kwa maxingira ya simulizi hili nashindwa kutoa maelezo
 
Sijawahi kwenda choo cha kulipia nisimkite mhudumu. Sasa kwa maxingira ya simulizi hili nashindwa kutoa maelezo

lakini si umewahi kwenda haja kubwa? je ndogo haikutoka?
 
hivi hao jamaa wanaishije mazingira magumu vile?
 
Kama mhudumu hakuwepo ningekomaa kuwa nimekata kubwa tu bila ndogo,aking'ang'ania nimeenda zote mbili nitamwambie Anipe ushahidi au alete mashahidi...Atakoma mbona?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom