Nimesoma hapo mwisho tu, maana nna aleji ya kusoma makala kwenye screen, na moja kwa moja napingana na kauli yako eti maamuzi ya maisha yangu yako mikononi mwangu. Tangu nikiwa mdogo nlikuwa nimejiamulia kuja kuwa waziri mkuu wa hii nchi. Mpaka nlipokuja kugundua kuwa maamuzi ya mimi kuwa PM kamwe hayawezi kuwa mikononi mwangu.... Unajua kwanini na nani mwenye mikono ya maamuzi? Kumbe you are out.... sorry am not in.[/QU SIKU ZOTE UKWELI UNAJITETEA WENYEWE,MTU ANAWEZA KUSEMA UKWELI LAKINI HAWEZI KUUTETEA,coz UNAJITETEA WENYEWE!
MpajiGiva said:Epuka kujifariji "faraja hewa",kama mtu hampendi Mungu muumba wake, Upendo wa kukupenda wewe ameutoa wapi?
Nimesoma hapo mwisho tu, maana nna aleji ya kusoma makala kwenye screen, na moja kwa moja napingana na kauli yako eti maamuzi ya maisha yangu yako mikononi mwangu. Tangu nikiwa mdogo nlikuwa nimejiamulia kuja kuwa waziri mkuu wa hii nchi. Mpaka nlipokuja kugundua kuwa maamuzi ya mimi kuwa PM kamwe hayawezi kuwa mikononi mwangu.... Unajua kwanini na nani mwenye mikono ya maamuzi?
Kumbe you are out.... sorry am not in.
Babu... mie nimesoma juu tu.... niambie vya chini kwa ufupi nami nikuambie vya juu..
Haujiamini tu, ukipendwa pendeka.[/QU Thanx! Nimeshapendwa tayari na hakika nimependeka,Its evident!
Nami naungana na mpwa wangu hapo juu kidogo kukupinga, lakini tofauti na mpwa wangu mimi nitatumia nukuu hiyo hapo juu kama ulivyoandika. Tambua kwamba ulichoandika hapo ni kinyume na namna inavyopaswa kuwa, yaani wewe umegeuza nafasi ya wahusika uliowabainisha. Jinsi ilivyo ni hivi: Huwezi kusema unampenda Mungu asiyeonekana kwa macho, halafu ukadai unampenda jirani, rafiki au ndugu yako unayemuona kwa macho. Huu ndio unaoitwa upendo wa kinafiki. Ingawaje Mungu ndiye asili ya upendo wote, lakini imani zetu juu ya upendo zinapimwa kwa kuanza kuwapenda wale tunaowaona kwanza ndipo tuseme tunampenda Mungu.[/QU TUKO PAMOJA! KUWAPENDA WANAOTUZUNGUKA NI ZAO LINALOTAKANA NA KUMPENDA MUNGU OTHERWISE NI MAIGIZO NA KUJILAZIMISHA TU."MFINYANZI NDIYE ANAYEFINYANGA MTUNGI AND NOT OTHERWISE!".
Kuwa na imani na kumpenda mtu ni vitu viwili tofauti nadhani...[/QU kivipi?
Nimekusoma kidogo, unamaanisha mtu anaemjua na kumpenda Mungu anakua na upendo na kwa binadamu na viumbe wengine hapa duniani (jumlisha na mpenzi wako) si ndio?[/QU Yap! tena Automatically,sio kwa kujilazimisha! PENDO LA MUNGU LIKIFUNGWA KWENYE MOYO WA MTU automatically Tunda la Roho huanza kuchipua ndani yake,LA! ANAPENDEZAJE? and this is really unconditionally Pure LOVE!Ubarikiwe ndugu!
Kuwa na imani na kumpenda mtu ni vitu viwili tofauti nadhani...