Haiwezekani kushusha thamani ya dola ya Marekani

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,540
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
 
Ni ngumu ila si kwamba haiwezekani, hii ni zamu ya usa nayo itakuja pita kama zamu za mataifa mengine zilivyopita itachukua muda gani hapo ni haifahamiki mpaka itimie.
 
Linganisha na kauli hizi:

1. Titanic haiwezi kuzama kamwe; hata Mungu hawezi kuizamisha.

2. Dola ya Babeli (baadaye wakasema Rumi) haitoweza kuangushwa kamwe.

3. Michael Jackson hawezi kufa.

4. Korona haiwezi kuisha.

5. Makao makuu ya Bongo hayawezi kuhamia Dodoma.
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Dunia imejaa mijitu mijinga mnoo
...afu kwa kujifanya inajua ndio balaa ..
 
Linganisha na kauli hizi:
1. Titanic haiwezi kuzama kamwe; hata Mungu hawezi kuizamisha.

2. Dola ya Babeli (baadaye wakasema Rumi) haitoweza kuangushwa kamwe.

3. Michael Jackson hawezi kufa.

4. Korona haiwezi kuisha.

5. Makao makuu ya Bongo hayawezi kuhamia Dodoma.
Mkuu wajinga wengine unawaacha na ujinga wao
 
Mbona kuna fedha nyingi zenye thamani zaidi ya Dollar hamzizungumzi?

Kama ukikosana na US anaweka anakuwekea vikwazo kupitia hela yake ata hiyo reserve uliyonayo anahakikisha huwezi kuitumia kuna haja gani yakuendelea kuitumia kama bank reserves kwa wale ambao wataona haiwafai?

Leo hii sisi nchi nyingi za Africa tunaenda kununua bidhaa China na Duba(UAE) hawa wawili ni wanachama wa Brics tuambie kwanini tusiweke Brics currency katika hazina yetu? Brics pia ina bank yake ambayo itakuwa inatoa mikopo ya fedha utaniambia ukienda kukopa huko utapewa USD? Mnaenda kununua vifaa vya jeshi huko Urusi utaenda na USD? basi kama sivyo hivyo vitakuwa vichocheo vya kushuka kwa mahitaji ya Dollar.
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Nani kakudanganya ww usa anakuja na mbinu mpya ya cryptocuency tyr ashatengeneza pesa inaitwa Pi network we shangaaa tu yuko mbele miaka 100 atahama dollar ataingia pi na sahz inagawiwa bure kwa mfumo wa mining
 
Itawezekana ila sio kwa leo ama kesho. Brics gdp yao ni Trillioni 27 Dola za kimarekani. Marekani yeye GDP yake ni Dola 29 Trilioni.
Usiziamini sana hizo takwimu za GDP; huwa zinadanganya sana kwa sababu wanaozipika ndio walewale wanaozipigia chapuo nchi zao husika.

Mtu akifulia, hata ajitahidije kuonekana bwanyenye, sura yake mwenyewe itamuumbua.
 
USA sio mfalme , tena ni taifa lenye race nyingi ni rahisi sana kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe .

Kama ni nguvu basi zipo story kubwa sana kuelekea anguko lake hasa kweny vita vya ndani ..
America kuna watu wengi sana wanamiliki silaha nyingi sana majumbani kwao hilo pia ni mtihani
Sio silaha moja au 2 bali mpaka 100 wapo
 
Sasa utajuaje pengine hiyo nguvu ndo imeleta sarafu ya BRICS? Kwani kabla ya $ hiyo nguvu ilikuwa imeweka nini?
Basicaly hakukua na nguvu or sarafu yenye nguvu. Nchinzilikuwa ziko scattered but us waliona opportunity hiyo na kuitumia. Lakini blue print zake zilitoka kwa wakoloni walio explore hizo routes
 
Nani kakudanganya ww usa anakuja na mbinu mpya ya cryptocuency tyr ashatengeneza pesa inaitwa Pi network we shangaaa tu yuko mbele miaka 100 atahama dollar ataingia pi na sahz inagawiwa bure kwa mfumo wa mining
Changamoto US watu wanaenda kununua nini kwake! Maana leo huwezi kuwaambia EU waache Currency yao ambayo ina thaman zaidi ya Dollar alafu wang'ang'anie pesa ya US! Kwaiyo haya mambo yataamuliwa na bidhaa ulizonazo zinahitajika zaidi?
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Sasa mkuuu, kwa ulivoandika inaonesha unajua ni lini nguvu ya USA itaisha,,, Tuma or ni lini ili utakapofika huo wakati tuwe na na Tumaini kwamba Ule wakati ni sasa,,,🤔
 
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu.

Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza dunia. Au taifa gani lipewe nguvu ya kuongoza dunia. Mambo yote Yanapangwa na hii nguvu.

Mipango yote ya viongozi wa dunia hii kujaribu kupanga mikakati Yao kinyume na hii nguvu inafeli. Mfano ni baadhi ya mataifa kufanya mikakati yao ya kuongoza dunia kinyume na hii nguvu inafeli vibaya. Majuzi tu hapa kwenye mkutano wa BRICS, viongozi wamejaribu kutambulisha SARAFU mpya ya BRICS ili iondowe utawala wa Dollar. Hiyo itafeli. USD Itaendelea kuwa na nguvu.

Tusijisumbuwe, Dollar bado IPO, USA bado IPO sana.

Ufalme wa MAREKANI una mizizi milefu sana kung'olewa ni ngumu sana.
Kwani nani alijua itafika siku ambayo itakuja redio station itaifunika Clouds FM kwa namna ambayo ilikuwa imara nchini.

Where is Clouds fm today? Je, ile monopoly waliokuwa wanainjoy ya kutawala media industry na kukandamiza watu kadri walivyokuwa wanajiskia iko wapi leo?

Ukiyatafakari hayo utagundua kuwa nyakati huwa zinabadilika katika maisha. Utawala wa Dollar utafika ukingoni tu na mikakati ya Brics iko timamu.
 
Nguvu kwa maana ipi? Mbona kuna nchi fedha zao zina thamani ya juu kuliko hiyo US $
Lakini hawana nguvu za kutetea na kulinda fedha zao.

Marekani kwa nguvu alizokuwa nazo, aliweza kuiaminisha dunia kwamba makaratasi yake yana thamani zaidi kuliko dhahabu yetu ya Geita, Almasi ya Mwadui, Tanzanite Mererani, Gesi ya Mtwara, mbuga za wanyama, mito, maziwa na bahari, na hivi karibuni kabisa, viwanda vyetu vya sukari.
 
Changamoto US watu wanaenda kununua nini kwake! Maana leo huwezi kuwaambia EU waache Currency yao ambayo ina thaman zaidi ya Dollar alafu wang'ang'anie pesa ya US! Kwaiyo haya mambo yataamuliwa na bidhaa ulizonazo zinahitajika zaidi?
Sasa kwa namna China anavyoshika masoko ya dunia nani atanunua bidhaa za kibeberu kwa bei mara 2 ya china?🤣
 
Basicaly hakukua na nguvu or sarafu yenye nguvu. Nchinzilikuwa ziko scattered but us waliona opportunity hiyo na kuitumia. Lakini blue print zake zilitoka kwa wakoloni walio explore hizo routes
Dunia inasogelea matumizi ya sarafu moja japo muda bado. Upo sawa kuwa $ ina nguvu na ndio giant wa sarafu dunia ya leo, ila kusema kuwa sarafu mpya zitafeli kabla hata hazijaanza matumizi ukaona udhaifu na uimara wake hayo ni mahaba mkuu.
 
Back
Top Bottom