Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,703
- 3,011
Matusi yapi mkuu.Litavunjwa baada ya WASAFI na matusi yao kufyekelewa mbali.
Matusi yapi mkuu.Litavunjwa baada ya WASAFI na matusi yao kufyekelewa mbali.
Wakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza. Ninachoamini kazi ya regulator huwa sio kudidimiza bali kuboresha.Sasa sijawahi kuona juhudi zozote za kuboresha sanaa nchini,sii filamu,ndondi,mziki wala ngoma.
Natoa ushauri kwa mamlaka husika zilivunje hili baraza na badala yake waunde kitu chenye tija na sio kujaza watu wenye upeo mdogo juu ya sanaa hasa ya kizazi hiki.
BASATA ivunjwe ili uimbe matusi?Wakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza. Ninachoamini kazi ya regulator huwa sio kudidimiza bali kuboresha.Sasa sijawahi kuona juhudi zozote za kuboresha sanaa nchini,sii filamu,ndondi,mziki wala ngoma.
Natoa ushauri kwa mamlaka husika zilivunje hili baraza na badala yake waunde kitu chenye tija na sio kujaza watu wenye upeo mdogo juu ya sanaa hasa ya kizazi hiki.