maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,829
Wakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza. Ninachoamini kazi ya regulator huwa sio kudidimiza bali kuboresha.Sasa sijawahi kuona juhudi zozote za kuboresha sanaa nchini,sii filamu,ndondi,mziki wala ngoma.
Natoa ushauri kwa mamlaka husika zilivunje hili baraza na badala yake waunde kitu chenye tija na sio kujaza watu wenye upeo mdogo juu ya sanaa hasa ya kizazi hiki.
Natoa ushauri kwa mamlaka husika zilivunje hili baraza na badala yake waunde kitu chenye tija na sio kujaza watu wenye upeo mdogo juu ya sanaa hasa ya kizazi hiki.