Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,309
- 30,945
Mzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.
Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.