Hair Style

Hii dezaini itakuwa tayari hapa bongo maana kila kitu cha ulaya ndo dili na hata mdhugungu akijipakaa mavi ya tembo basi huwa feshin au toleo jipya hapa bongo
 
huo ubunifu huenda umefanyika kwa nywele zote! angeweka wazi kuleee ungekuta ni hivyohivyo...
 
Wanasema hizo zinaamsha hisia za kufanya mapenzi.

Mi simo!
 
wewe ulale usiku huku kwetu

kuna mtu kanivuruga na msubiria aamke kale kachangu kanachojiita swisme

kilibadili id sasa nimeipata id yake ndo nimekajua kalivyo nimekatukana nakasubiri kaamke

uwenda asubuhi nikaliwa ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…