Hapana EvelynSalt..vitu vingine is too much. Kuna wanawake wanaona kugharimika kwa ajili ya familia ni sawa na kutupa hela kwenye tundu la choo. Binafsi sipendi hiyo tabia. Ni kweli mwanaume hupaswi kuwa hard kwa mwanamke. Inabidi umpe uhuru ila mambo yakizidi mwanamke anaboa. Inakuwa ni bora nioe mwanamke ambaye hana kazi nijue na nitamtimizia kila kitu. Sasa mwanamke kila siku anaamka kwenda kazini na hata siku nyingine hayupo nyumbani kaenda semina na akirudi anasema hawezi changia chochote. Mi huo naona ni ubinafsi na simtofautishi na changu...maana naye hana mchango wowote kwako mbali na mbunye na kisha unamlipa. Inabidi utofauti huu uwepo. Hili ni jambo ambalo limepelekea wanaume kupunguza upendo kwa wake zao na kuishia kuchepuka.
Kwahiyo kuwa makini na hili maana limaweza kukugharimu.
Na lingine wanawake wa namna hii ni watu wako materialistic. Wana mood swings kulingana na mali za mumewe zikoje. Ni watu wakulalamika sana kudai haki za waume wao. Pamoja na kutotaka kuchangia hela yao bado huwa hawana mafanikio ya kuonekana pamoja na kwamba hawaghalamukii familia.