Haina u shemeji hiyo

Naona Chura bado anaruka ruka.

Jamaa kaweka chaja ya pini ndogo kwenye chaji anakula moto tu.

teh teh teh
Hii kitu hata majini wakiona wanakimbia
 
Duh!! Wakubwa wanafaidi[emoji4] [emoji4]
 
On contrary no!
anaonekana kazizoea mpaka kachoka! Tazama wasifu wake wa nje anaonekana mzee wa singeli au kigodoro huko si wana bambiaga from Am to Pm.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…