TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,436
- 3,557
Unamfundisha kazi ?mamlaka anayo yakuweka ndani mtu yeyote yule kwa kufuata protocol why analalama baada yakutumia mamlaka
Wanakopa akina nani SSH ndio anaeidhinisha hio mikopo na alisema lazima tukope kwa hio na yeye ni mwizi ?Wanakopa ili wapate kuiba,wanaleta miradi ili wapate sababu yakuibia
Unauliza swali au unauliza jibu ?Bado anafahamu hatua zote zinazopitiwa mpaka tender ama manunuzi ya kamilike na zinapitishwa na nani ?.
Watanzania tunahitaji kubadilisha mfumo wa uongozi kuanzia siasa na utendaji wetu la sivyo habari kama hizi zitakuwa za kila siku.Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa.
Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho
Mikataba yote inaeleweka ni lazima ipite kwa mwanasheria mkuu wa serikali
Bado anafahamu hatua zote zinazopitiwa mpaka tender ama manunuzi ya kamilike na zinapitishwa na nani.
Haileti maana kwa yeye kulalamika,,mamlaka anayo yakuweka ndani mtu yeyote yule kwa kufuata protocol why analalama baada yakutumia mamlaka,,ka pwaya
Haileti maana,mtu kama Madilu,AG,hawakutakiwa kuwepo ofisini sasa hivi.
Wanakopa ili wapate kuiba,wanaleta miradi ili wapate sababu yakuibia
Kuwamudu kivipi wakati alishawaruhusu wale Ila kila anaekula ale kwa urefu wa kamba aliyonayo mkuu mbon unajichanganya au tukuletee clip ?Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa
Hilo linafahamika na lipo wazi hoja yako ni ipi mkuu ? Emu nyoosha maelezo kidogoMiradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho
Hata ungekuwa wewe ni director kwenye business yako, ukaajiri watu wa kukusaidia kazi zako; kama uhasibu, masoko, ghala, nk, je, utaweza kujua kila jambo linaloendelea kwenye kitengo husika? Ni vigumu kujua yanayoendelea chini ya kapeti, vinginevyo mtu akutonye. Hata kama Mheshimiwa Rais atawafunga wafujaji, lakini hawezi kuwajua wote! Hao ndio anaowaongelea Rais!Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa.
Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho
Mikataba yote inaeleweka ni lazima ipite kwa mwanasheria mkuu wa serikali
Bado anafahamu hatua zote zinazopitiwa mpaka tender ama manunuzi ya kamilike na zinapitishwa na nani.
Haileti maana kwa yeye kulalamika,,mamlaka anayo yakuweka ndani mtu yeyote yule kwa kufuata protocol why analalama baada yakutumia mamlaka,,ka pwaya
Haileti maana,mtu kama Madilu,AG,hawakutakiwa kuwepo ofisini sasa hivi.
Wanakopa ili wapate kuiba,wanaleta miradi ili wapate sababu yakuibia
Hapa umeongea point mkuu labda awafukuze wote kisha aanze na moja, na asimrudishe hata mmoja aliemfukuzaHata kama Mheshimiwa Rais atawafunga wafujaji, lakini hawezi kuwajua wote! Hao ndio anaowaongelea Rais!
Kujua hutaweza but take action when you had realised that something wrongly was done by some one whom you exactly know and you manage himHata ungekuwa wewe ni director kwenye business yako, ukaajiri watu wa kukusaidia kazi zako; kama uhasibu, masoko, ghala, nk, je, utaweza kujua kila jambo linaloendelea kwenye kitengo husika? Ni vigumu kujua yanayoendelea chini ya kapeti, vinginevyo mtu akutonye. Hata kama Mheshimiwa Rais atawafunga wafujaji, lakini hawezi kuwajua wote! Hao ndio anaowaongelea Rais!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huioni hoja?, hoja achukue maamuzi nasio kulalamika pale,haileti maanaHilo linafahamika na lipo wazi hoja yako ni ipi mkuu ? Emu nyoosha maelezo kidogo
Kwa hio mama anabwata bwata tu bila action yoyote badala ya kuwatimua mmoja mmoja tena kwa kuwataja na majina kua wewe fulani bin fulani upo kingengo fulani kuanzia leo nakufuta kazi usionekane ofisini chukua kilicho chako ondoka katafute kazi nyingine ya kufanya, ndio unataka afanye hivyo au sio mkuu ?hoja achukue maamuzi nasio kulalamika pale,haileti maana
Pigaaaaaaaaaa chiniiiiiiiiiiii haoooo, ngoja tupaze sauti zetu, Mh. Rais wetu, usicheke nao hao, majitu mazoefu hayo ktk upigaji.