Haile mmea

naskia huo mmea unanguvu fulani katika ulimwengu wa kiroho...
kama ni kweli Naomba ufafanuzi
Ni kweli kabisa kwa mfano hao hapo wanajiona wako live kwenye gari halisi kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wapuuzi kama hao ni kuwatandika bakora keshi hawarudii tena.

-Ndumilakuwili-
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kosa lao ni Tanzanika ya viewonder [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna stage waliiruka kwenye ukuwaji wao. Ila Mungu awajalie wamiliki gari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna stage waliiruka kwenye ukuwaji wao. Ila Mungu awajalie wamiliki gari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kosa lao ni Tanzanika ya viewonder [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
Hahaha mh
Hivyo viewonder vya magari nh adim
 
Kweli hizi bangi za kwenye jua Kali....usukani upo katikati ya gari.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huko Nevada USA imeadimika kama petrol kwa siku mbili zilizopita hapa TZ. Serikali ya Nevada imechukua hatua za dharula jani liwepo la kutosha madukani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…