Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,775
- 5,941
Tufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
Ukiangalia vizuri kale kajamaa hata kichwa kilikuwa kimezidiTufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
View attachment 2199340
Ukiangalia vizuri kale kajamaa hata kichwa kilikuwa kimezidi
Mbona mechi ya jana kati ya Arsenal na Man Utd Nketiah alizidi mkono na Ronaldo alizidi mguu magoli yote mawili yamekatazwa?Tufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
View attachment 2199340
Kasome tena vzr iyo sheria iyo unayoisema ilishsfanyiwa marekebisho kwa ss ukizidi ata unyweleeee ni offsideTufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
View attachment 2199340