Haikua lazima unipende Caren

Kaka niaje?
 
Sasa mkuu ushafumania msg ya michepuko 3 alafu unakuja kuumia baada ya kukutwa kapakatwa na mchepuko mmojawapo? Huna haja ya kuwachukia wanawake wote utajipa tabu tu, kumbuka maisha yanaendelea soon utatokea kupenda tena
Sidhan bro,,,
 
Asante sana kwa ushauri nmeupenda kwa kweli
 
Santeee best
 
Huu msemo wa "tafuta hela" unaniuzi (kwenye baadhi ya context) as if hela ni suluhisho la kila tatizo

Pole mtoa mada, lakini acha kulia tafuta demu/mchumba mwingine maisha yaendelee
Hua nashangaa wanaupenda sana huo msemo Pesa sio suluhisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…