Haijawahi kutokea hapa bongo!!!

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Je, ulishawahi kusikia au kuona mtandao unaowasaidia watanzania kutangaza matangazo yao kwa bei poa?

JigambeAds
TanzaniaKwetu

Mitandao hiyo hapo juu inamwezesha Mtanzania yeyote kutangaza biashara, kazi au links za site zake kwa gharama ya chini sana.
Tembelea na uulize usipo paelewa ili ujionee.
 
Wewe vipi?!! Unasema haijawahi kutokea hapa Bongo wakati hili tangazo lako la mitandao yenye gharama za chini umeweka hapa bure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…