Haifai hata kwakurumangia>>>>>>>

View attachment 80772
Yani yeye alale ndani na baskeli halafu mimi anilaze nje?


Mkuu kipi kimepelekea kusema jamaa kampotezea bidada? hayo ni mapozi tu inawezekana kunajoto sana, na vibaka

wanaweza kuipitia baiskeli ndo maana kaishikilia wakiwa wanapunga upepo kwa kujipatia kauzingizi kidogo, si ajabu nimchana na

inawezekana ikawa maeneo ya ufukwe wa bahari au ziwa. Ni mtazamo wangu.
 
mchezo usharumangika hapo.....................chezea bao wewe................
 

Uko sawa ila namashaka na huyo jamaa, inaelekea anathamini sana baiskeli kuliko Bidada.
 
Unamanisha wanaume halisi hawapo tena imebaki taswila tu au? mkuu hujaeleweka hebu tembea kidogo tukusome

Yaani anamaanisha wanaume tu ndo wamebaki, hawajikoboi.
Kama sijakosea vile.
 
Wanaume wa maana wenye maadili ya kiume wameisha, walobaki Wanafanana tu na wanaume.

cc Xuma, saudari, adolay
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa maana wenye maadili ya kiume wameisha, walobaki Wanafanana tu na wanaume.

cc Xuma, saudari, adolay

Kwahio nilikuwa nimeenda chaka????
Tukizungumzia wanaume wenye maadili naamini wapo sio kwamba wameisha ila wamepungua tu. Huwezi kuconclude ghafla namna hiyo.
 

Kwahio nilikuwa nimeenda chaka????
Tukizungumzia wanaume wenye maadili naamini wapo sio kwamba wameisha ila wamepungua tu. Huwezi kuconclude ghafla namna hiyo.


Mkuu Saudari mbona unang'aka, mie nilimuelewa huyo. La hapa kapiga ikulu mkuu.
 
Huyo jamaa atakuwa ni hanidhi tu lazima,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…