Tumesikitishwa sana na hujuma zilizofanywa na mahakama leo baada ya kutoa hukumu iliyokuwa inamuhusu mbunge wa jimbo la hai ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa mhe.Mbowe kupewa hukumu ya kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni moja .ukisoma katiba kwa makini katiba yetu kwa mstari hapo chini .Mbowe
hatoweza tena kugombea ubunge wa hai kutokana na hukumu ya leo
View attachment 261192
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho baada ya ccm kuona Mbowe anakubalika sana kwenye jimbo lake la hai naona ccm wameamua kuja hizi mbinu za hujuma kwa kushirikiana na mahakama lakini watambue watakuwa wanashinda na moto wa gesi hawawezi kufanikiwa kuzuia harakati za Mbowe kwenye ukombozi wa nchi hii.
CCM IPO KWENYE MSTARI WA KIFO.
mgombea wa urais asiwe amewahi kushitakiwa kwa makosa ya jinai na kupatikana na hatia.
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
Kwa nini sisi wachaga tumejazana chadema.
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
wapi; tutambania hapo hapo; shule za kata zimeokoa
muosha uoshwa; alimutaka sana zitto na kumkejeri sana ; aksante mungu kumuumbua asubuhi.
Badala ya kukata rufaa kakiri kosa na kulipa faini
time will tell
Hila Za magamba haziwezi kuzuia nguvu Za Mungu. Mbowe atagombea na atarudi Tena Bungeni. Ni jambo la kusikitisha huwezi kujadili hoja Ila unatukanaWe utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
ccm nchi imeshawashinda kuongoza wamebakia kukandamiza demokrasia...
Tuna mawakili wasomi akina Lisu
Hii ni issue ndogo
Mbona Rage na Chenge walihukumiwa na wakalipa faini na wakagombea ubunge?
CCM wamefanya hujuma kwenye hiyo kesi kwani hukumu nyingi zinazofanyika zinakuwa zimeshatolewa na viongozi wa ccm kwani kuna siri gani .mbona Rage alipokuwa na kesi kumtishia mtu kwa bastola alihukumiwa kwa miezi 6 kwa nini
Jibu HOJA, matusi peleka nyumbani kwako...
Haya sasa. Huyo anataka ridhaa ya wananchi wakichague chama chake, Atakuwa Mwenyekiti wa chama tawala anayeshambulia raia wake.
Tuna mawakili wasomi akina Lisu
Hii ni issue ndogo
Mbona Rage na Chenge walihukumiwa na wakalipa faini na wakagombea ubunge?
Umesahau kaka ungemmalizia tu kwa kumuambia kwamba.We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
Kosa linalomuondolea raia haki ya kutochaguliwa ni pale anapohukumiwa kwa makosa ya jinai
Kwa hiyo Rage alipohukumiwa hakugombea tena Ubunge mbona yupo mjengoni au mdogo wake.
We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
dc makonda ni kada wa chama tawala, alimshambulia (alimpiga) hadharani waziri mkuu mstaafu mzee warioba na m/kiti wa tume ya katiba. Hakushitakiwa mahakamani (culture of impunity) na kisha kuteuliwa kuwa dc wa wilaya ya kinondoni!