Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

Wewe ndiye hujitambui, ukisikia kesi ya kupiga na mtu kahukumiwa kwenda jela bado unawaza kesi ya madai, mgogoro wa ardhi au mirathi?
Hiyo ni criminal. Mojawapo ya test ni pamoja na kwamba fine inalipwa kwa jamhuri na wala siyo aliyepigwa. Pia mshitaki alikuwa jamhuri na si aliyepigwa.

Aliyepigwa anaweza fungua kesi ya madai na kuomba alipwe fiadia.
 
Huyo hakimu naye magamba vilevile kama mshtaki hana shahidi ameridhishwa vipi na upande wa mashtaka mpaka atoe hukumu hiyo au mtoa nada hajasema hapo muwa mlalamikaji hakua na shahidi hata mmoja? Nisaidieni jamani hii sijaielewa maana nahisi mtoa mada ni mfuata mkumbo wa mgamba tafadhali msaada Kwa hili
 
Haya sasa. Huyo anataka ridhaa ya wananchi wakichague chama chake, Atakuwa Mwenyekiti wa chama tawala anayeshambulia raia wake.

Wangapi wanashambuliwa na usalama wa taifa Mabwepande? Wanatumwa na nani?
Kesi za kubebeshana mmeshipalia tu.
Wakumbuke hawa na waliowashambulia unitajie;
1. Harisson Mwakyembe
2. Mwenyekiti wa madaktari Dr. Ulimboka
3. Kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya JKT
4. Kiongozi wa wanafunzi chuo cha
Bugando
 
duuuh yaan mtu kama mengi anapatikana na hatia alafu unamwambia kifungo cha miaka 10 au faini ya sh 450000 si utakuwa unamtania.
 
Mwambieni akirudia kosa hilo hilo kwa mara ya pili hakuna faini, anakwenda na maji.

Hivi wewe si ungeendela kutoa hizo 'likes' kama ulivyotoa nyingi hapo juu kuliko kukejeli mambo ambayo ni serious na hatarishi? Unaambiwa hii ni kesi ya 2010, kwa nini kesi rahisi hivi ikae muda woote huu? unapaswa saa nyingine uache ushabiki wako wa kijinga uwe biased.

Subirini na nyie mkiwa upinzani muone jinsi dola litakavyowashughulikia, sana sana ww kwa sababu your true identity is known.

We're counting down the days....
 
Breaking news.
Freeman Aikaeli Mbowe mwenyekiti wa Chadema (T) na mbunge wa jimbo la Hai muda huu amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au faini ya Tshs. 1,000,000/= kwa kosa la kumpiga wakala wa CCM kwenye kituo cha kupigia kura cha Lambo wakati wa uchaguzi mkuu 2010.
 
Itabidi aikatie rufaa mbali na hapo watasema 'aliwahi kushitakiwa na kuhukumiwa'!

yaani kwa hukumu hii, inatakiwa ajiuzulu nafasi zake zote hadi atakapo weza kuifuta hukumu hii. ila kwa siasa za tanzania ataendelea tu
 
Huo ni muhimili mwingine, mahakama sio state, Hao wana indepenence of judiciary na wana security ya kazi yao wao sio serikali kama hujui basi.

Mahakama sio
State sawa... lkn state ni mhimili?mihimili ni executive parliament na judiciary... halafu mahakama zetu hazina. uhuru wa moja kwa moja... wanafanya kazi chini ya mashinikizo sana
 
Tumesikitishwa sana na hujuma zilizofanywa na mahakama leo baada ya kutoa hukumu iliyokuwa inamuhusu mbunge wa jimbo la hai ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa mhe.Mbowe kupewa hukumu ya kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni moja .ukisoma katiba kwa makini katiba yetu kwa mstari hapo chini .Mbowe hatoweza tena kugombea ubunge wa hai kutokana na hukumu ya leo
1434546319259.jpg
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho baada ya ccm kuona Mbowe anakubalika sana kwenye jimbo lake la hai naona ccm wameamua kuja hizi mbinu za hujuma kwa kushirikiana na mahakama lakini watambue watakuwa wanashinda na moto wa gesi hawawezi kufanikiwa kuzuia harakati za Mbowe kwenye ukombozi wa nchi hii.
CCM IPO KWENYE MSTARI WA KIFO.
 
Mbona wezi kama Lowaca,Ridhiwane,Makengeza ,Mama wa Mboga,Mzee wa hela za Libya wanausaka Urais maana wameiweka Serikali Mfukono.
 
Back
Top Bottom