Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Sep 11, 2011 #1 wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Sep 11, 2011 #2 kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss
kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,921 Reaction score 3,248 Sep 11, 2011 #3 Wao hawajui akili inamatter ktk umiss!
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Sep 11, 2011 #4 Mtujuze kinachoendelea hapo wakuu
jockey emmanuel JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 330 Reaction score 50 Sep 11, 2011 #5 unaonaje kama wangeulizwa maswali kama vle;"unawezaje kumuweka tembo kwenye friji?"
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Sep 11, 2011 Thread starter #6 jockey emmanuel said: unaonaje kama wangeulizwa maswali kama vle;"unawezaje kumuweka tembo kwenye friji?" Click to expand... hahaaa hii kali.......
jockey emmanuel said: unaonaje kama wangeulizwa maswali kama vle;"unawezaje kumuweka tembo kwenye friji?" Click to expand... hahaaa hii kali.......
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Sep 11, 2011 Thread starter #7 mikatabafeki said: kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss Click to expand... mikataba labda kwako ndio kawaida,yale maswali hata mie ningechemsha mambo ya vita vya wenyewe mie nitayajulia wapi lol
mikatabafeki said: kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss Click to expand... mikataba labda kwako ndio kawaida,yale maswali hata mie ningechemsha mambo ya vita vya wenyewe mie nitayajulia wapi lol
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Sep 11, 2011 Thread starter #8 chapaa said: Mtujuze kinachoendelea hapo wakuu Click to expand... tayari mtu kashavikwa taji naye ni miss salha israeli....
chapaa said: Mtujuze kinachoendelea hapo wakuu Click to expand... tayari mtu kashavikwa taji naye ni miss salha israeli....
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Sep 11, 2011 #9 monique said: tayari mtu kashavikwa taji naye ni miss salha israeli.... Click to expand... Asante mkuu lkn je ameshinda kwa vigezo?
monique said: tayari mtu kashavikwa taji naye ni miss salha israeli.... Click to expand... Asante mkuu lkn je ameshinda kwa vigezo?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Sep 11, 2011 #10 mi bado naomboleza msiba wa taifa uliotokea pemba kwa mambo ya umiss mkuu vipi huyo salha israel ni miss wa wapi..
mi bado naomboleza msiba wa taifa uliotokea pemba kwa mambo ya umiss mkuu vipi huyo salha israel ni miss wa wapi..
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Sep 11, 2011 #11 Vichwa nazi. Hawana kitu, wanawaza kuonyesha maungo yao mbele ya kadamnas. Upuuzi mtupu.