Dogo mmoja alikuwa
anapIga story na BABA
yake mara demu wake
akatokeA!...dah! BABA
mwenyewe mtata
... sana...dogo akaamua
kutumia akili ya
kuzaliwa ...maongez na
dem wake yakawa ivi;
Dogo:Umekuja kuchukua
kile kitabu cha speak
english my father dsn't
know?!
Dem:Ndio na kile cha where
should i wait 4 u?
Dogo:Hicho hakipo labda
kile cha wait me under the
coconut tree! Dem:Sawa
ucsahau kile cha
dont be late i gv u 5
minutes.
Dingi kusikia hivyo
akampa mwanae elf 10 ili
asome kwa bidii