hahahaha

just a joke bana vp nyinyi

Sawa ni Joke ... Lakini ukiingia sehemu si unapiga hata hodi .. JF? ... wewe unaingia tu bila salaam unaanza na Joke?!

Anyway, imekusaidia kupata "Like" 1 kutoka kwa mdau hapo juu
 
nani akuchukie wewe, nani anakujua, we ni nani katika ulimwengu huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…