Bongo kila kitu siasa, diamond wakati yupo international level anafanya collabo na kina Mr. Flavor, iyanya na p square, na ana show kila wiki ndani na nje ya nchi, nyie mpo busy kumpigia kampeni ally, wakati kazi zake ndo zilitakiwa ziongee zenyewe. Shit! Niggaz u need to grow up!