Wimbo bora wa mwaka je kuna wimbo bora zaidi ya Mwana?
Wimbo bora wa Afro pop, je upi zaidi ya mwana? Au unataka uniambie ule mchiriku wa mdogomdogo kutoka kwajirani yetu? Hahahaha
Mtunzi bora wa mwaka, je kuna mtunzi bora zaidi ya King aliyetunga mwana? Au unataka useme mtunzi bora ni yule aliyetunga taarab na khadija kopa hahahhaha
Collabo bora ya mwaka, je kuna collabo bora zaidi ya King na mwanaFA "Kiboko yangu"? Au unataka useme eti ile collabo ya jirani yetu na shetta ptuuuuu!
Video bora ya mwaka, je kuna video bora zaidi ya ile mwana kutoka kwa King? Au unataka useme video bora ni ile ya jirani yetu ya ntampata wapi aliyocopy script za video ya 2face?
Mtumbuizaji bora wa mwaka, je kuna mtumbuizaji bora hapa nchini zaidi ya King anayekuchapia show za live band kwa sauti halisi tamu, au unataka kusema eti mtumbuizaji bora ni yule jirani yetu anayetumia back vocal na kukata mauono hovyo kama Aisha mashauzi?
Muimbaji bora wa Kiume wa mwaka, je nani kama King ambaye amehit bila video na mwana hadi sasa chekecha, Au unataka kusema eti ni yule jirani yetu anayebebwa na video za Godfather amabazo anazitoa hata 4 kwa mwez alafu zinachuja zote kwa siku 3 tu hahahhaha.
TUKUTANE BAADA YA SIKU1, TUTAHESHIMIANA TU.