hahah Vibuti vyengine bana!! (Single mwaka mzima)

Mkuu kuna vitu umeficha. Hasa sababu gani iliyopelekea huyo mdada kukupiga chini kwani polisi walikukuta na nini mpaka mchuchu akukatae? Haya wadada wa JF changamkieni iPhone 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief yule binti ana tabia flani za kususa ..nilimzingatia sana na ninaona zisingekuwa na mwisho mzuri..

Unakuta vitu vidogo tuu anasusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah kaka kwa ulivyojieleza hakukuwa na sababu ya msingi ya huyo binti kukuacha,ila kwa kuwa una gari na good life yawezekana ndo kilimvuta kwako,unaweza ukampata unaempenda ila ukakosa ataekupenda ila ukapata ataependa ulichonacho,kingine ujue maisha n magumu hususan vyuoni,kama madada wanaweza kujiuza ili kujikimu vyuon watashindwaje kuwa na wew ili wapone,kingne jitathmin kitandan ukoje(simaanishi ukilala unakoroma au laaa),maana mwanamke anaweza akakuacha na gari na zawad yako ya iphone akaenda kwa mwenye baiskeli na zawadi ya mahindi choma,namaanisha huyo jamaa anajitahd kitandan,
USHAURI
Kama utataka demu wa kick and run(yaan wa kutolea maganda meupe tuu),show how capable you are in life kama hvyo unamsimamisha ukiwa na ndinga but ukitaka mke show less of your wealth,paki gari nyumban panda daladala au boda mfate,hapo utapendwa wew na utapata real love,ila ukienda na ndinga litapendwa ndinga huku ukihis umependwa wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…