Hahaahhahahahha hi kali mno

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Panya wa3
walikuwa wanatambiana nani
mkali zaidi ya wenzake..
Panya wa 1: mimi hata mtego
uwekweje,nategua tu!
Panya wa 2: mimi hata maziwa
yawe yamewekwa sumu,mi
nakunywa tu!
Panya wa 3: ye akaanza
kuondoka. Wenzake
wakamuuliza, "we vipi?" Akajibu,
"Naenda kufanya mapenzi na PAKA...!"
Je,yupi noma?
 
paka wa 3 hajapinda,ila kanyongolota
 

kweli hii ni noma
 
mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Paka wa tatu saluti coz anadiriki kula maraha na aduwi yake, kwdli kamuweza kufikia kumfanya mwenza wa kujigijigi. Hii kiboko thaty nimekugongea mahala pako.
 
ha ha haaaaa du huyo paka anavuta bange!!!
 
thank u huyo paka akirudi lazima apewe tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…