Septem
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 313
- 404
Muziki wa dansi ni muziki ambao umekuwepo nchini kwa muda wa miaka mingi.. Kwa takribani miaka mitatu sas muziki wetu huu umeyumba. Wadau tunafanya juhudi za kuurudisha muziki huu kwenye heshima yake.
Wafia muziki huu tunataraji kuwa na hafla kubwa ya muziki wa dansi. Hafla hii itawakutanisha wanamuziki wa dansi, watangazaji wa vipindi vyote vya muziki wa dansi, viongozi wa vyombo mbalimbali vya habari kama tv stations na radio, madj, mashabiki, mapedejze, viongozi wa band za muziki wa dansi, mapedjze. Lengo ni kujadili ni vipi tunaweza kuusimamisha muziki huu dansi.
Wadau wote mnakaribisha tujumuike, tule, tunywe, tucheze. Kutakuwa na live performance ya wanamuziki mbalimbali kama vile sikinde, fm academia, twanga.
Kwa mtu mmoja mchango ni 50,000/- na double ni 100,000/-
KARIBUNI WAFIA DANSI.