Mshana Jr Wanasaikolojia wanadai kuwa Wababa huwa wanaona wivu sana mtoto anaponyonya kwa mamake ambaye ni mkewe na hasa akiwa mtoto wa kiume. Matokeo yake ni hilo linaloonekana kwenye picha hii. This sounds like there is a truth in the hypothesis.!

demulikuy zipo proof nyingi zinazothibitisha hilo! Nilishawahi kumsikia mzazi mmoja anamwambia mwanae kuwa siku hizi mtoto anapewa maziwa fresh wakati yeye baba anapewa mtindi! Sikujua alimaanisha nini