Umesema mambo mengi mnoo kwa hiyo unataka tukusaidie lipi?
jana alikuja na story nyingne leo nyingne huyu inaonekana ni MWING WA HABARI
inakuwaje mwanaume anashindwa kuelewa hisia za mpezi wake, yani huyo mvulana anajifurahisha mwenyewe mkiwa katika tendo lile, unamuonyesha kila dalili kwamba hujaridhika ila bado, unaongea kwa mifano wapi hata unashindwa kumuelewa kwakweli, ukimwambia hata haelewi kabisaaa. YANI IN SHORT HANA ANY KNOWLEDGE ABOUT WOMEN, hata ukimwambia nipo in danger days kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na mimba ilikuwa ni topic ilibidi nianze kumfundisha ila ikifika tena siku nyingine kasahau heeeee!!!!!!!!!!!!! kuna siku nilimuuliza kama biology ya form three walikuwa na mwl au la (NISAIDIENI JINSI YA KUMWAMBIA ANIELEWE)
Pia caring hana anakuona sijui kama yeye, jamani its not like wanawake tunapenda zawadi ila hata once in a year hata kwenye birthday yako lol!! unashindwa umwambieje, ukimwambia kutoka anakwambia bado tuna mambo mengi ya kujiandaa nayo kimaisha pia uko kwenu sio vzr utoke usiku, yani anaogopa kuliko hata wewe na wazazi wako sijui ni caring au hataki. nyumbani ndio hataki kufika ila yeye kutwa kunitambulisha kwa ndugu zake, ukitoka na rafiki zako anataka uwambie two days before au ndio atanuna mbaka basi, ufanyeje.
Yumo humu, tukusaidie kumfunda?
Kama hayumo mtambulishe kwa JF ili magwiji wa humu wamfunde how to please a girl chumbani na maishani!
Ni pm nikuambie kitu or see me here jimmyromi@yahoo.com
Mimi ni msichana nina 26 years, nina boyfriend wangu tumeanzana tokea chuo lakini huwa haonekani kunijali ananitafuta akiwa na shida zake za............, nilimsemaga akajirekebisha kidogo, badae tukawa tunaongelea mipango ya ndoa na akasema ataenda kuongea kwao, alirudi ananiambia kwamba mama yake anataka mtu wa kabila lake (mkurya) lakini anasema yeye ananipenda nisihofu nisubirie labda mama yake atabadilika. msimamo wake kutwa ni visingizio mama anaumwa, sijui kazi anatoka usiku, simu yenyewe napigiwa jumamosi akiwa na shida hata sielewi na ananigagania eti nisimwache na hataki hata niwe na mtu ananifatilia kweli. naombeni ushauri je huyu mtu ananipenda hajui kuonyesha mapenzi au ananipotezea mda, na suala la mama kweli anaweza kubadilika au changa la macho?
inakuwaje mwanaume anashindwa kuelewa hisia za mpezi wake, yani huyo mvulana anajifurahisha mwenyewe mkiwa katika tendo lile, unamuonyesha kila dalili kwamba hujaridhika ila bado, unaongea kwa mifano wapi hata unashindwa kumuelewa kwakweli, ukimwambia hata haelewi kabisaaa. YANI IN SHORT HANA ANY KNOWLEDGE ABOUT WOMEN, hata ukimwambia nipo in danger days kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na mimba ilikuwa ni topic ilibidi nianze kumfundisha ila ikifika tena siku nyingine kasahau heeeee!!!!!!!!!!!!! kuna siku nilimuuliza kama biology ya form three walikuwa na mwl au la (NISAIDIENI JINSI YA KUMWAMBIA ANIELEWE)
Pia caring hana anakuona sijui kama yeye, jamani its not like wanawake tunapenda zawadi ila hata once in a year hata kwenye birthday yako lol!! unashindwa umwambieje, ukimwambia kutoka anakwambia bado tuna mambo mengi ya kujiandaa nayo kimaisha pia uko kwenu sio vzr utoke usiku, yani anaogopa kuliko hata wewe na wazazi wako sijui ni caring au hataki. nyumbani ndio hataki kufika ila yeye kutwa kunitambulisha kwa ndugu zake, ukitoka na rafiki zako anataka uwambie two days before au ndio atanuna mbaka basi, ufanyeje.
mkuu wewe mwambie hapa hapa watu waone kuna haja gani ya PM na kutoa hadi email