Hadithi ya umslopagaas

Nami natamani hivyo aweke yote,
Pamoja sana,ila namiss 'Ilmu' na 'Darsa' lako ktk Mikanasha ya humu Mkuu
nilichukua likizo ndefu akhy lkn nimerudi rasmi na tunaendelea na minakasha kama kawaida.
niko na wenzetu huko ktk majukwaa mengine tunakumbushana kuhusu Siku ile ambayo mama atakimbia mwanae.

ukinitafuta napatikana tu Insha Allah .

Barakallahu fiik.
 
Naomba unitag huko ,maana nimekua mzururaji tu humu,baada a kukosa mikanasha mizito mizito
 
kwenye version ya kiingereza wametumia masai,sijajua kwanini kwenye kutafsiri wamewaita wajivuni....lakini ndio ni kabila.
Kwa description aliyoitoa ya jinsi mjivuni alivyo na anavyovaa surely hao so wamasai.
 
Mkuu unayo hiyo version kwa PDF unitumie?
 
Wakuu hii kitu ni tamu, huyu Makumazahn angeweza andika script tamu sana kwa movie
 
Kwa description aliyoitoa ya jinsi mjivuni alivyo na anavyovaa surely hao so wamasai.
mkuu hii ni kazi ya kubuni sio lazima kila kitu kiwe exactly sawa na uhalisia,pia sina hakika kama uvaaji wa masai wote afrika mashariki unafanana.
 
Aisee
 
mkuu hii ni kazi ya kubuni sio lazima kila kitu kiwe exactly sawa na uhalisia,pia sina hakika kama uvaaji wa masai wote afrika mashariki unafanana.
In most cases hadithi za kubuni is from reality au maisha ya maeneo flani. James Hadley chase novel zake zote zilitokana na miji na maisha ya eneo flani. Mfano ni kweli kwamba Kenya kuna Mto Tana kama ilivyozungumziwa hapa. Pia wamasai niliowaona Kenya tamaduni zao ni sawa kabisa na walioko Tanzanian, kuna kipindi wamasai wa Tanzania wakiiba mifugo walikuwa wanaipeleka Kenya.
 
Mkuu blackstarline naona hili shauri la kuiweka yote lime slow process, tafadhali usipate tabu, twende tu kwa mfumo ule ule tulioenda nao tukamaliza Mashimo ya mfalme Suleiman bila tatizo, sura moja kwa siku

Kunradhi kama nimemkwaza yeyote
 
Hahaah kwa nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…