haya maisha Ni kweli kabisa watu wanapitia, na mtiririko wa story take hauonyeshi chai ndani yake,Inaendelea
Nilivyowaona hao wadau sikutaka kukimbia maana niliona nikiwakimbia watachukua point sana.Nilivua kabisa shati la shule nikabaki na tishet niliyokua nimevalia ndani ya shati ckutaka shati langu lichanike.Basi niliwafuata mpk walipo nikataka kuwapita niendelee na safar zangu wakanizibia njia.Waliniuliza tu kama niko fresh nikasema ndio, hata cjajiandaa vizur muhuni mmoja akanigonga bapa kwenye bega na zuna ( sime ) ile narudi nyuma yule msela ( jiran yangu ) alikua na wembe mkononi mwake akanifuata ili anichane nao, nilirudi nyuma haraka akajikwaa alianguka akajikata na wembe wake mwenye nyuma ya kiganja cha mkono wake damu zilimtoka sana ( hadi nilimuonea huruma ingawa me ndo nilikua muhanga ) wale wenzake walivyoona hivyoona hivyo walinizingira sasa hapo nikawa na pigwa korabo.Nilipigwa sana bapa za zuna,kuchanwa na nyembe mgongoni na kwenye mbavu.Niliwachoropoka nikakimbilia maandazi ya Mungu ( mawe ) nikamjeruhi muhuni mmoja kwenye pua ilikua ni full ku breed.nilkua kichaa ghafla hasira kama zote mpk wakawa wanaogopa kunisogelea mkononi nina mawe kwa ajili yao.Wanafunzi waliokuwa wanatoka shule wenye walisimama kwa muda kuona sinema ya bure kabisa wala hata hawaachanishi wanawaogopa wale wahuni katika hizo harakati Ticha mmoja wa primary ndo alitokea akatishia kupigia simu police ndo wahuni wakakimbia ila yule nilie mpiga jiwe la pua akasema atanitafuta yaani bifu likawa kubwa zaidi
Nilibaki na yule ticha pale na baadhi ya wanafunzi nikataka wanitafutie boda inipeleke home nilikua najua tu watakua wananivizia tena njiani.Boda ilikuja nikapanda ikanipeleka home Bi mkubwa alivyoniona vile alishtuka sana nilikua na damu plus ile tishet ilikua imechanwaa na nyembe.Nilimuelezea kisa kizima akaniambia nisitoke home yaan hata kutumwa nilikua ctumwi.Mpaka leo mgongo na mbavu bado makovu yapo.
Bifu lilikua zito ngoja niseme lilivyoisha.Kama nilivyowaambia nilikua ctoki home yaan ilikua ni kwenda shule tu tena na boda.Siku hyo jamaa angu mmoja alinifuata home akitaka nimsindikize Majita road walimtuma kwao, nilikataa lakin alinisihi akidai likitokea la kutokea atakua pamoja nami, nilimkubalia nikawa najua tu lazima nikutane na hao wahuni.Nilibeba kisu cha home kwa ajili ya kujitetea kama nikikutana nao.Na kweli nilkutana nao lakin walikua watatu cku hyo niliogopa ila sio sana maana nilijua niko na huyo jamaa alieahid kuni save.Yule jamaa nilie mpiga jiwe alichomoa bisi bisi kiuononi kuja kunichoma nayo me nae nikatoa kisu alivyoona kisu akastop kufanya alichotaka kukusudia ngumi zilipigwa cku hyo mpk nikakubali tu kushindwa kuondoa bifu japokua niliumizwa lakini me nae niliwapa alama za maisha.Maisha yaliendelea kma kawaida urafiki wetu ulirud automatic tukiwa tunaheshimiana ila sio na nawe wahuni wa mbio za vijiti wale mpk leo kama bado wako hai nahisi bifu bado lipo.
Nitarudi kueleza hya yafuatayo..
1_nilivyo aanza kuiba na Kuteka Watu simu
2.Nilivyonusulika mimi na wenzangu kushikwa na mabodaboda cku hyo jamaa etu alituletea Majanga sana.
3.nilivyonusulika kutekwa na Wahuni wa Uswazi
4.Hustling zangu mtaani baada ya kufeli Form four
5.Na mengne mengi kadri nitakavyo yakuumbuka maana nimepitia Mengi sana.
We jamaa ungekufaa aisee daahInaendelea

tuko pamojakweli maana huo ni mwanzo tena huko kuna matukio nimeona niyaruke ili niende kwenye lengo la mimi kuandika huu uzii
Khumbu muongo muongo story km isidingotujamaliza ya khumbu wamekuja wakurya tena...
.
Shunie uko wapi mkuu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
eti telegram.Telegram yenyewe nime I freeze huko.Me lazima nimalize bila malipo maana ni mshukuru Mungu na shuguli ninayo ifanyahaya maisha Ni kweli kabisa watu wanapitia, na mtiririko wa story take hauonyeshi chai ndani yake,
Nakuimba mkuu endelea na malizia hi story ili iwe funzo kwa watu, hasa wazazi
Ila ukileta mambo ya WhatsApp,sijui telegram,nitakuwa balozi wa kwanza kukuchafua. Huo Ni utapeli, Kama una ushuhuda toa watu wajifunze, ndio Mana halisi ya jf
🤣🤣🤣 ngoja na mie nikupeleke Umurani....tujamaliza ya khumbu wamekuja wakurya tena...
.
Shunie uko wapi mkuu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wazee wengine wanakua na michepuko ndio wanapelekaga pesa kwahyo logically usishangae mkuuMi story yako siitaki. Nataka story ya Mshua wako.
Yaani mwalimu anapanga nyumba ina vyumba viwili tu tena mkoani Mara. Huko Laki na Nusu si unapata nyumba nzima ata yenye vyumba vinne?
Hayo maisha ova mlikua Dar tu sasa.
Ila ninja umepitia mengi. Endelea kutiririka.
Kumbe sasa mahondaw wangu yupo free! Namrudia sasaUnasikitisha sana...
Kama uliacha hiyo tabia usiirudie tena...
Kuna kitu kikubwa nimejifunza Kwenye hii story, Asante sana
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Aisee pole Sana kwa Mikasa hii uliyopitia.Inaendelea