"Sele alikua anakutana na wasichana wengi kila siku, na hata hapo walikuja wapangaji wengi tu wa kike na kuondoka lakini haijawahi kutokea msichana aliyeubamba moyo wake kama ilivyokuwa kwa Ester,"
Kumekuchaaaaaaaaaaa hapaaaa!!
Ngoja niendelee kusoma kwanza π
Ila sele naona km mstaarabu,ingekua Apostle (Analyse )angesha piga hadi mama mwajuπ,
Tena unaeza kuta mama mwaju mwenyewe nae yuko full msambwanda,na apostle ndo ugonjwa wakeπ
Ila sele naona km mstaarabu,ingekua Apostle (Analyse )angesha piga hadi mama mwajuπ,
Tena unaeza kuta mama mwaju mwenyewe nae yuko full msambwanda,na apostle ndo ugonjwa wakeπ
Basi niseme Tena nawashukuru sana na in shall Allah tutaonana Tena kwenye MZAHA WA DAMU, Huko mbeleni , panapo majaaliwa
Wabilah towfiq
CK Allan
0746 266 267
Innalillahπππ
Huo uzi nilishaupitiaga kias flan ila siukumbuki kisa chenyewe kilikuaje,
Kumbe Alifariki?....
Dah....so so sad πππ
Humu duniani sisi ni wapitaj jmn