sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
uwe na subira, lkn pia utambue Kuwa SIO KILA aombaye HUPEWA, labda wapo wanachakataWakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na maombi niliombea pale pale Chuoni lakn kwa njia ya mtandao sasa hadi leo hawajanijibu chochote nikiangalia kwa Website yao hamna chochote.
Ushauri wadau naombeni mnisaidie kwa hili nifanyaje
Shukran nduguuwe na subira, lkn pia utambue Kuwa SIO KILA aombaye HUPEWA, labda wapo wanachakata
Mkuu ebu njo pm ili tustuane zaidhata mimi nime apply ila hadi sasa ni kimya sijui inakuwaje!.ila kwakuwa walisema mwisho ku-apply ni tar15 mwezi huu,labda tusubiri labda watatujibu hivi karibuni.
hilo nalo nenohata mimi nime apply ila hadi sasa ni kimya sijui inakuwaje!.ila kwakuwa walisema mwisho ku-apply ni tar15 mwezi huu,labda tusubiri labda watatujibu hivi karibuni.
Kamuulize DVCWakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na maombi niliombea pale pale Chuoni lakn kwa njia ya mtandao sasa hadi leo hawajanijibu chochote nikiangalia kwa Website yao hamna chochote.
Ushauri wadau naombeni mnisaidie kwa hili nifanyaje
[emoji3] [emoji2]Miongozo inaonyesha kuwa application ni NACTE ilikuaje mkafanya Dodoma
Na Mungu akubariki ndugu[emoji120]mimi nadhani busara ni muhimu,kuliko kumkatisha tamaa mtu.UDOM kwa diploma na certificate course una apply DIRECT chuoni kupitia www.oas.udom.ac.tz huwezi kuziona kozi hizo NACTE.na mwisho ku-apply ilikuwa jana,mtamwambiaje AMETEMWA.tuwe na upendo sisi kwa sisi,mwenzetu anaomba kujua,TUMSAIDIE.
Muhimu ni kusubiri wakisha toa majibu ndipo mtu atajua amechaguliwa au hajapata.
Wakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na maombi niliombea pale pale Chuoni lakn kwa njia ya mtandao sasa hadi leo hawajanijibu chochote nikiangalia kwa Website yao hamna chochote.
Ushauri wadau naombeni mnisaidie kwa hili nifanyaje
Powa mkuuTupo pa1
muda umeongezwaaa ad tareh 24/09/2016mimi nadhani busara ni muhimu,kuliko kumkatisha tamaa mtu.UDOM kwa diploma na certificate course una apply DIRECT chuoni kupitia www.oas.udom.ac.tz huwezi kuziona kozi hizo NACTE.na mwisho ku-apply ilikuwa jana,mtamwambiaje AMETEMWA.tuwe na upendo sisi kwa sisi,mwenzetu anaomba kujua,TUMSAIDIE.
Muhimu ni kusubiri wakisha toa majibu ndipo mtu atajua amechaguliwa au hajapata.
"Tusanua"???? ndo nini wengine hatujui hicho kiswahiliπ‘π‘ππππIv lakn siwatatusanua kwenye email zetu?