Elections 2010 Hadi sasa combination ya bunge ikoje?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
265
Hivi hadi sasa CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-Mageuzi, TLP,....... imeshachukua majimbo mangapi?
 
CHADEMA: 22
CUF: 2
NCCR: 4
TLP: 1
UDP: 1
Bado uchaguzi wa mkoa wa Rukwa haujafanyika, anakotoka mbunge wa CHADEMA Said Arfi.
 
Back
Top Bottom